Matendo 25:13
Print
Siku chache baadaye Mfalme Agripa pamoja na dada yake aliyeitwa Bernike walikuja Kaisaria kumtembelea Festo.
Baada ya siku chache mfalme Agripa na Benike wakafika Kaisaria kumkaribisha Festo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica